User:Pchambua2011
From WikiEducator
Wasanii wa Tanzania Mnatakiwa kuhakikisha kwamba kazi zenu hazichukuliwi na watu ambao sio wazuri wanao haribu kazi zenu.Haya yalielezwa kwenye mkutano na wadau wote wa sanii ya muziki Tanzania Ulio fanyika katika ukumbi wa diamond jubilee mwaka wa jana