User:Arabia
From WikiEducator
Introduction
Naitwa Sofia Mick Mambo. Ni mzaliwa wa Zanzibar. Katika mwaka wa 1969.mtoto wa kwanza wa ukoo wa bwana Mack . baba mkulima na mama yangu ni mama wa nyumbani.elimu yangu ni tarasa la saba.
Professional Experience
kwa sasa ninafanya kazi katika Wizara Ya watu waio wengi kama muhudumu.
My interests
napenda sana kuwa na marafiki. Napena kufanya kazi kwa mashirikiano
- napenda kusikiliza muziki
- napenda kuangalia tv
- napenda kuogelea
- sipendi kitokee kitu kibaya kwa mtu yeyote
My name is Sofia Mick Mambo. I was born in 1977 at Shinyanga Hospital.I work at Ministry of Agriculture