Tanzania/Welcome

From WikiEducator
Jump to: navigation, search

Karibu Tanzania; The Land of Kilimanjaro


About TZ TZ News
Famous Blogs
Photo gallery

National Anthem

Maskani.jpg


Mungu ibariki Afrika

Wabariki Viongozi wake

Hekima Umoja na

Amani Hizi ni ngao zetu

Afrika na watu wake.


Mungu ibariki Tanzania

Dumisha uhuru na Umoja

Wake kwa Waume na Watoto

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Tubariki watoto wa Tanzania.