User:Kazungu

From WikiEducator
Jump to: navigation, search

Tatizo kubwa ambalo linaisumbua Tanzania ni ufisadi serikalini ambao bado haujazibitiwa ipasavyo. serikali iliyopo madarakani imeshindwa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wakubwa wa ufisadi.Tatizo la ufisadi limesababisha kuwepo na tofauti kubwa ya mapato kati ya walionacho na wasionacho.Watumishi wa serikali katika taasisi nyingi hawafanyi kazi kama inavyotakiwa kwa kuwa wanategemea kupata mafanikio kwa njia za mkato.Wafanya kazi walio wengi wanamini mafanikio yanapatikana kwa njia za mkato'