Hi

Jump to: navigation, search

mambo vipi?

unaonaje mafunzo haya tunayo fundishwa?

Kwa hakika mimi naona mazuri na yananifaa sana. Lakini naona muda tunao fundishwa ni mdoga , natamani siku ziongezwe ili nipate kuelewa vizuri.

Naona itanisaidia sana . kwani nimepata kitu kipya kabisa. mafunzo hayo kwa sasa ni muda hautoshi. nadhani watutafutie nafasi zaidi ya kwenda kusoma ili tufaidike zaidi na tupate kujua na kuweza kufanya kazi kwa uhakika zaidi.

Arabia (talk)01:41, 18 January 2012